The Rita Paulsen Show ni kipindi cha Majadiliano kinacho leta
utofauti kwa kuboresha maisha ya watu.
Nina zungumza na watu kuhusu matatizo yao, na kuwasaidia
kupata ufumbuzi. Pia ninaongea na watu
mashuhuri na watu wengine wenye msukumo
wa mafanyikio ili kugundua mambo ambayo hayajulikani juu ya maisha yao.
Pia nina jipatia furaha kwa kubadilisha mwonekano wa watu
kwa njia ya Make Over na kuwafanya wajisikie vizuri na kuweka tabasamu kwa nyuso
zao.
No comments:
Post a Comment